title : IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA
kiungo : IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA
IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, yupo Kampala nchini Uganda, kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) unaofanyika Kampala nchini Uganda, wakifuatilia mada inayowasilishwa mbele yao katika mkuatano ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi, katika mkuatano huo yupo pia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Hivyo makala IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA
yaani makala yote IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/igp-sirro-ashiriki-mkutano-wa-19-wa.html
0 Response to "IGP SIRRO ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA"
Post a Comment