BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
kiungo : BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

soma pia


BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

Mthamini wa Serikali wa Madini, Edward Joseph Rweyemamu na Afisa Usafirishaji Archad Alphonce Karugendo, mapema asubuhi hii, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, jijini Dar es salaam kujibu shtaka moja la kuisababishia serikali ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania hasara ya zaidi ya bilioni 2.

Washtakiwa hao wawili wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi mbele ya Hakimu Mkazi Respicious Mwijage, ambapo hawakutakiwa kujibu kitu chochote mahakamani hapo kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kisikiliza kesi za namna hiyo. Wamerudishwa rumande.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/breaking-nyuzzzzz-watuhumiwa-wawili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI"

Post a Comment