HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI.

HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI.
kiungo : HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI.

soma pia


HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI.

Mwambawahabari

Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe anashikiliwa na polisi kwa siku nne sasa. 

Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Chaumma anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. 

Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema leo Septemba 5 kuwa, Rungwe anashikiliwa kituoni hapo kwa siku nne. 

Hata hivyo, Kamanda Mambosasa hakutaka kuingia kwa undani kuhusu suala hilo akisema hana taarifa za kutosha.

Mwananchi:


Hivyo makala HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI.

yaani makala yote HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hashimu-rungwe-ashikiriwa-na-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HASHIMU RUNGWE ASHIKIRIWA NA POLISI."

Post a Comment