title : Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA
kiungo : Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA
Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) (hawapo pichani) unaotarajia kufanyika nchini mwezi Februari 2018 kuhakikisha maandalizi yanakuwa mazuri ili ujio huo uwezekuletea manufaa kwa taifa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wakisililiza maagizo ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe aliyokuwa akitoa katika kikao hicho kwa lengo la kufanikisha ujio huo wa Kimataifa kuwa unaleta manufaa kwa taifa jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe katika kikao cha maandalizi ya ujio huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam,wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Yusuph Singo.
Hivyo makala Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA
yaani makala yote Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/maandalizi-ya-ujio-wa-fifa-yaanza.html
0 Response to "Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA"
Post a Comment