UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA

UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA
kiungo : UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA

soma pia


UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA


Vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania kupitia muungano wao vimefungua kesi Mahakamani Kuu ya Tanzania kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa kujadiliwa na Bunge kwa ajili ya kuupitishwa kuwa sheria.

Kesi hiyo imefunguliwa Desemba 20,2018 ikitarajiwa kuanza kusikilizwa kesho Ijumaa Januari 4,2019 huku mlalamikiwa akiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Akisoma tamko la umoja huo leo Alhamisi Januari 03, 2019, Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema muswada huo unakinzana na Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 hivyo ni muhimu kwao kuupinga.


“Serikali imepeleka bungeni muswada wa sheria ya vyama vya siasa unaohalalisha agizo la Rais Magufuli alilolitoa mkoani Singida mwaka 2016 kuzuia mikutano ya vyama vya siasa. Muswada huu unafanya shughuli za kisiasa kuwa suala la jinai.

“Tumefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar chini ya hati ya dharura kupinga Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa kujadiliwa na Bunge kwa minajiri ya kuupitisha kuwa sheria kwa sababu unakinzana na katiba ya nchi. 

"Hatuwezi kwenda kuujadili Bungeni, mnajua kuna wabunge wengi wa CCM, baadhi yao ni wazuri na tumekuwa tukijadiliana nao, lakini wengine ni makasuku. Kuna wabunge wengine wa CCM wanapenda sifa, siyo kwamba utakuwa mbaya tu lakini utatoka mbaya zaidi.

“Muswada huo unalenga kumfanya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwa na Mamlaka ya Usimamizi (Regulatory Authority), kuwa na mamlaka ya kuingilia shughuli za kiutawala na maamuzi ya ndani ya vyama vya siasa ikiwemo kusimamisha/ kumfukuza mtu uanachama,” amesema Zitto Kabwe.


Hivyo makala UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA

yaani makala yote UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/upinzani-wafungua-kesi-mahakama-kuu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UPINZANI WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA MUSWADA WA SHERIA"

Post a Comment