DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI

DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI
kiungo : DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI

soma pia


DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI

SERIKALI inatekeleza  Programu ya miaka mitano ya Maendeleo ya Sekta ya Maji nchini (2016/21) ambapo pamoja na mambo mengine imekusudia kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Miji Mikoa ya  Mikoa kutoka asilimia 86 hadi 95.

Taarifa ya Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji inaonesha kuwa Idadi ya wateja waliounganishiwa huduma hiyo imeongezeka kutoka 405,095 mwezi Machi 2016, hadi wateja 432,772 mwezi Machi, 2017 ambapo asilimia 97 ya wateja hao wamefungiwa dira za maji ili kulipia huduma ya maji kulingana na matumizi. 

Pamoja na ongezeko hilo la uzalishaji wa maji bado mahitaji ya maji ni makubwa katika maeneo ya Miji Mikuu ya Mikoa ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, hatua iliyoilazimu Serikali kuwekeza katika miundombinu ya maji na kuzijengea uwezo mamlaka za maji ili kuongeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama katika Jiji hilo.

idadi ya maunganisho kwenye mtandao wa majisafi ya Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kutoka wateja 155,000 mwezi Machi, 2016 hadi kufikia wateja 182,721 mwezi Machi, 2017, kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya maduhuli ya mauzo ya maji kutoka Tsh. Bilioni 7.1 Machi, 2016 hadi Tsh. Bilioni 8.3 Machi, 2017.



Hivyo makala DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI

yaani makala yote DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dawasa-ilivyojipanga-kuimarisha-mtandao_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI"

Post a Comment