Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa

Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa
kiungo : Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa

soma pia


Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa


Wanafunzi 917,072 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi kesho na keshokutwa (Septemba 6 na 7).

Kati ya wanafunzi hao, wavulana ni 432,744 sawa na asilimia 47.19, wakati wasichana ni 484,328 sawa na asilimia 52.81.

Watahiniwa 882,249 watafanya mtihani huo kwa lugha ya Kiswahili na 34,823 watatumia lugha ya Kiingereza.

Jumla ya watahiniwa 94 wasioona wamesajiliwa  kufanya mtihani huo, wakiwemo wavulana 58 na wasichana 36.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema maandalizi yameshakamilika ikiwa ni pamoja na kusambazwa kwa vifaa vinavyohitajika katika halmashauri zote nchini.

Dk Msonde amezitaka halmashauri kuhakikisha utaratibu wa uendeshaji wa mitihani unazingatiwa.

"Tunataka mazingira ya vituo vya mitihani yawe salama, tulivu na kuzuia mianya yoyote inayoweza kusababisha udanganyifu,” amesema.


Hivyo makala Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa

yaani makala yote Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/darasa-la-7-kuanza-mitihani-ya-kuhitimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Darasa la 7 Kuanza Mitihani ya Kuhitimu Kesho na Kesho Kutwa"

Post a Comment