title : MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA
kiungo : MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA
MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA
Mkali wa muziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu akiwapagawisha wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na wimbo wa mwanaume mashine wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer akionyesha umahiri wake wa kurapu”Kufokafoka” wakati wa tamasha la Pinduapindua lililoandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Mtaalam wa kucheza na baiskeli ,Awadhi Mazame wa kundi la Chego Bike akionyesha manjonjo ya kuruka na baiskeli yake wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Kundi la Maco Swagg Husein Habib likionyesha staili ya Pinduapindua wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Abdallah Juma wakundi la Maco Swagg akionyesha umahiri wake wa kucheza pinduapindua, wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Hivyo makala MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA
yaani makala yote MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/msaga-sumu-awapagawisha-wanafunzi-wa.html
0 Response to "MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA"
Post a Comment