JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI

JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI
kiungo : JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI

soma pia


JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI


Rais wa Mahakama Kuu ya Kenya (Supreme Court), Jaji David Maraga anasemekana kukataa kiasi cha Kshs. 500,000,000 zilizowekwa kwenye akaunti yake ya benki ya KCB Alhamisi mchana.
Kwa mujibu wa Makao makuu ya KCB yaliyopo KENCOM house Nairobi, akaunti ya Dr. Maraga ilipokea pesa hizo saa tisa mchana kutoka kwa mtu asiyejulikana ambaye kwa mujibu wa Jaji huyo ana lengo la kumchafua yeye na mahakama.
Meneja wa tawi wa KCB, Bw. Kamau Ndung’u amesema Bwana Maraga ametaka pesa hizo zirudishwe zilipotoka kwani hakutegemea pesa kutoka kokote na wao kama benki watafanya hivyo mara moja na pia watajitahidi kumpata mtu aliyeweka pesa hizo ili kuweka mambo sawa na wazi.


Hivyo makala JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI

yaani makala yote JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jaji-aliye-tengua-ushindi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI ALIYE TENGUA USHINDI WA KENYATA,AKATAA MABILIONI"

Post a Comment