Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.
kiungo : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.

soma pia


Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.

MSHAMBULIAJI wa Timu ya URA Peter Lwasa, akimpita beki wa Timu ya Jamuhuri Girayson Gerrad, mwenye jezi ya njano wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Mchezo uliofanyika saa 8. Timu hizo zimetoka sare ya bao.1-1



MCHEZAJI wa Timu ya URA Jimmy Kulaba, akimpita Beki wa Timu ya Jamuhuri Abdallah Juma wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1


KIPA wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akiokoa mpira wa kona golini kwake wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Jamuhuri Khamis Abdurahaman, akimiliki mpira huku beki wa Timu ya URA Patrick Mbowa akijaribu kumzuia wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1







Hivyo makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.

yaani makala yote Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/michuano-ya-kombe-la-mapinduzi-kati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1."

Post a Comment