AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA

AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA
kiungo : AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA

soma pia


AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA

Ofisa Mwandamizi Biashara wa Benki ya Azania, Victor Musendo (kulia) akimuelezea jambo mmoja wa wahandisi waliotembelea banda lao kuhusu huduma mbalimbali za benki ya Azania wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wahandisi Tanzania uliofanyika Septemba 7-8, 2017 Mkoani Dodoma. Katikati ni Afisa Masoko Mwandamizi wa Azania Bank, Othman Jibrea.
Maofisa wa Benki ya Azania wakiongozwa na Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wateja binafsi, Jackson Lohay (watatu kushoto) wakizungumza na baadhi ya wananchi waliofika katika banda la Azania Bank Limited wakati wa Mkutano wa mwaka wahandisi uliofanyika Dodoma Septemba 7-8, 2017 .
Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kutoka vyuo mbalimbali kitaifa wakipata maelezo kuhusiana na huduma za kibenki zitolewazo na Azania Bank Ltd.


Hivyo makala AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA

yaani makala yote AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/azania-bank-katika-mkutano-wa-mwaka-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZANIA BANK KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA WAHANDISI TANZANIA"

Post a Comment