title : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
Mwambawahabari
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (katikati) na Mshauri Mwandamizi wa Serikali hiyo, Ndg. Aran Corrington, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (katikati) na kulia ni Mshauri mwandamizi wa serikali hiyo, Ndg. Aran Corrington, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi wa Ireland ulipotembelea Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma, ukioongozwa na Balozi huyo.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/spika-job-ndugai-atembelewa-na-balozi_14.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI"
Post a Comment