ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO
kiungo : ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO

soma pia


ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) alipokuwa akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Sekondari ya Chokocho Wilaya ya Mkoani lenye madarasa manne na Chumba cha Maabara leo akiwa katika ziara ya kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoku wa akiuliza suala na kutoa maelekezo kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chokocho Maalim Abdalla Mohamed Abdalla (kushoto) wakati alipoikagua maabara katika skuli hiyobaada ya kuifungua rasmi pamoja na madarasa manne ya kusomea (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma,Rais akiwa katika ziara ya kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ili kuzungumza na Wazee,Wananchi hao pamoja na Walimu katika uzinduzi wa jengo la madarasa manne (4) na Chumba cha maabara leo katika Skuli ya Sekondari ya Chokocho  akiwa katika ziara ya kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba.
[Picha na Ikulu.] 24/08/2017.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO

yaani makala yote ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-wilaya-ya-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA,AFUNGUA SKULI YA CHOKOCHO"

Post a Comment