WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA

WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA
kiungo : WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA

soma pia


WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA


Jf (1)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua miradi ya wilaya ya Kigamboni.
Jf (2)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa sekta ya afya wilaya ya Kigamboni.
Jf (3)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akitembelea Hospitali ya Vijibweni wilaya ya Kigamboni.
Jf (4)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua maabara na madarasa katika sekondari Somangira.
Jf (5)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua maabara na madarasa katika sekondari Somangira.
Jf (6)
Bweni la wasichana lililokamilika kujengwa katika sekondari ya Somangira.
Jf (7)
Watumishi wa Manispaa ya Kigamboni wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo.
Jf (8)
Wanafunzi wa sekondari ya Somangira wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo alipotembelea shuleni hapo.
………………………
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amewapongeza watendaji wa Manispaa ya Kigamboni kwa moyo wao wa kujituma katika kuitumikia manispaa hiyo mpya.

Jafo ametoa pongezi hizo leo alipokuwa katika ziara ya kikazi ya kuzungumza na watumishi na ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

Katika ziara hiyo, Jafo alifanikiwa kutembelea ujenzi wa mabweni, madarasa, maabara na vyoo katika shule ya sekondari ya Somangira ambapo serikali ilipeleka sh. milioni 259 ili kujengwa miundombinu hiyo na kufanya shule iwe na uwezo wa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano waliochaguliwa kwa awamu ya pili.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri Jafo alifanikiwa kutembelea hospitali ya Vijibweni na kuwamwagia sifa watendaji wote wa hospitali hiyo kwa usimamizi mzuri kwa kuwa na mazingira ya usafi wa kuvutia.

Hata hivyo Jafo alielekeza kutenga eneo Maalum kwa ajili ya duka Maalum la wagonjwa wa bima ya afya ili wagonjwa wote wa bima wasikose dawa wanapofika hospitalini kupata matibabu.

Naibu Waziri huyo pia amempongeza Mbunge wa jimbo la Kigamboni na Mkuu wa wilaya hiyo na viongozi wote wa wilayani kwa kazi nzuri ya usimamizi wa wilaya hiyo.


Hivyo makala WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA

yaani makala yote WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/watendaji-manispaa-ya-kigamboni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA"

Post a Comment