Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam
kiungo : Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

soma pia


Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam



Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo. Avuka kwa kutumia kivuko cha MV Kigamboni Kutoka Magogoni kwenda Kigamboni.



Rais baada ya kushuka ameongea na baadhi ya wananchi wa Kigamboni kuwaahidi kushughulikia changamoto zao, wananchi pia wamepata nafasi ya kuuliza maswali;

=>Rais Magufuli: Serikali ninayoingoza itakuwa ya watu wote bila kubagua vyama, dini, makabila na mimi ni rais wa watanzania wote.

=>Nitawa-instruct watu wangu mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, wakurugenzi ili yote yafanyiwe kazi.

=>Tumeamua kuunda agent nyingine ya barabara ambayo itashughulikia barabara za halmashauri.


Hivyo makala Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

yaani makala yote Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-magufuli-atembelea-eneo-la-feri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam"

Post a Comment