BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA
kiungo : BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

soma pia

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi akimkabidhi Mashuka na Kitanda Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) ni Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma (Mshua) na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Ali Salum.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (alievaa tai rangi ya bluu) akimkabidhi Kitanda na Mashuka Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Ali Salum (kulia) Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma, Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi na (kushoto) Meneja Uhusiano Faraja Kaziulaya kutoka Dar es Salam.

Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma (Mshua) na Mdau wa mambo ya afya akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda na Mashuka kwaajili ya huduma za Kujifungulia katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja jengo la Dodoma.  

Hivyo makala BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

yaani makala yote BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/benki-ya-nmb-yatoa-msaada-wa-vitanda-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA"

Post a Comment