UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo

UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo
kiungo : UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo

soma pia


UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo

Nyumbani kwa Marehemu Mzee Philemoni Ndesamburo aliyefariki dunia jana katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi. 
Baadhi ya waombolezaji wakiwemo ndugu wakijiandaa kwenda kutizama mwili wa Mzee Ndesamburo katika HospItali ya Rufaa ya KCMC. 
Baadhi ya Waombolezaji wakiwemo Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakia nyumbani kwa Mzee Ndesamburo. 

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini ,Godbless Lema pamoja na mkewe Neema Lema wakiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Ndesamburo.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasini mara baada ya kukutana nyumbani kwa marehemu Mzee Ndesamburo . 
Mtoto wa Marehemu Ndesamburo ,Ndohorio Ndesamburo akiwaeleza jambo waombolezaji waliofika nyumbani kutoa pole kwa familia. 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini,Aman Golugwa akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Ndesamburo. 
Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa katika kikao kifupi nyumbani kwa mareheu Ndesamburo. 

Familia ya marehemu Ndesamburo wakiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutizama mwili wa mpendwa wao. 
Mkurugenzi wa kampuni ya World Frontier,John Hudson akimfariji ,mtoto wa marehemu Ndesamburo,Lucy Owenya nyumbani kwao eneo la Mbokomu mjini Moshi. 
Baadhi ya waombolezaji wakiwafariji wafiwa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
FB_IMG_1496295801653
FB_IMG_1496295796775 #UPDATEZAMSIBA:Wabunge waliosafiri kutokea Dodoma kumsindikiza Mhe.Lucy Owenya wamefika salama muda huu nyumbani Moshi Kwa Marehemu Mhe. Dr. Phillemon Ndesamburo.FB_IMG_1496295793410 FB_IMG_1496295783777 FB_IMG_1496295723383


Hivyo makala UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo

yaani makala yote UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/updateskutoka-nyumbani-msibani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UPDATES:Kutoka Nyumbani msibani kwa Marehemu Ndesamburo"

Post a Comment