Tumesoma "Confession of the Lioness"

Tumesoma "Confession of the Lioness" - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tumesoma "Confession of the Lioness", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tumesoma "Confession of the Lioness"
kiungo : Tumesoma "Confession of the Lioness"

soma pia


Tumesoma "Confession of the Lioness"

Na Profesa Joseph Mbele

Tumo katika wiki ya mwisho ya kozi ya "African Literature," ambayo ni kwa kipindi hiki cha kiangazi. Kati ya vitabu ambavyo tumesoma ni Confession of the Lioness, riwaya ya Mia Couto wa Msumbiji. Couto ni mmoja wa waandishi maarufu kabisa Afrika na ulimwenguni, ambaye amepata tuzo za kimataifa kwa uandishi wake, ikiwamo tuzo ya Neustadt.

Mia Couto anaandika kwa ki-Reno. Ninasoma na kufundisha tafsiri za ki-Ingereza. Kwanza nilifundisha riwaya yake The Tuner of Silences hapa chuoni St. Olaf nikaipenda sana. Niliifundisha tena katika muhula mwingine. Kutokana na hilo, niliamua kufundisha riwaya yake nyingine. Ndipo nikachagua Confession of the Lioness, baada ya kusoma taarifa zake mtandaoni.
Riwaya hii inasimulia habari za eneo la kaskazini mwa Msumbiji, katika jamii ya wa-Makonde. Jamii inaishi kwa hofu na wasi wasi kutokana na kuwepo kwa simba ambao huzunguka na hushambulia watu na mifugo. Wasi wasi umechanganyika na imani za kishirikina kuhusu simba hao. Je, ni simba kweli, au ni simba wa kutengenezwa kiuchawi? Hilo ni moja ya maswali yanayosumbua jamii hii.


Hivyo makala Tumesoma "Confession of the Lioness"

yaani makala yote Tumesoma "Confession of the Lioness" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tumesoma "Confession of the Lioness" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tumesoma-confession-of-lioness.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tumesoma "Confession of the Lioness""

Post a Comment