SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.

SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
kiungo : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.

soma pia


SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.


MHESHIMIWA JAKAYA AKIWA NA SKAUTI KTK MKUTANO MKUU WA DUNIA 2017
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:                   15/08/2017
Jumla ya skauti wapatao 200 kutoka jimbo la Hamshire Uingereza wapo nchini Tanzania kwa ziara ya kazi za jamii pamoja na skauti wenzao wa Tanzania.

Skauti hao wamekuja nchini kwa ajili ya kufanya kazi za jamii ambapo wamejitolea kukarabati Kambi kuu ya Mafunzo ya Skauti iitwayo Bahati ambayo ipo mkoani Morogoro nje kidogo ya mji huo.

Ziara hiyo ambayo  itachukua zaidi ya mwezi mmoja kukarabati eneo hilo la kambi, na baada ya hapo watatembelea maeneo mengine ya Kilosa, Ifakara, na Mikumi kabla ya kurejea nchini kwao Uingereza.

Kazi za kujitolea kwa vijana Skauti ni mojawapo ya shughuli zao za kila siku kusaidia watu siku zote kama Kanuni za Skauti zinavyosema.

Hii ni mara ya kwanza kwa kundi kubwa la Skauti kutoka Uingereza kutembelea Tanzania.
Wakiwa nchini Tanzania skauti hao kutoka nje wanashirikiana na wenyeji wao Chama cha Skauti Tanzania, kutoka Makao Makuu D’salaam na wengine wa mkoani Morogoro.
HIDAN .O. RICCO.
KAMISHNA MKUU MSAIDIZI
MAWASILIANO NA HABARI
(0673 019112)


Hivyo makala SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.

yaani makala yote SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/skauti-wapatao-200-kutoka-uingereza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA."

Post a Comment