title : Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba.
kiungo : Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba.
Na Mathias Canal, Pemba
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 15, 2017 amewasili Visiwani Pemba-Zanzibar kwa Ziara ya kikazi.
Ambapo hii Leo atakuwa katika Wilaya ya Chakechake, katika Ziara hiyo Katibu Mkuu UVCCM Taifa atakagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM katika kipindi hiki Cha Miaka mitano 2015-2020
Aidha, Shaka atashiriki shughuli Mbalimbali za kijamii sambamba na kuzungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 15, 2017 akisalimiana na Wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM na Jumuiya zake mara baada ya kuwasili Visiwani Pemba-Zanzibar kwa Ziara ya kikazi.

Hivyo makala Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kaimu-katibu-mkuu-wa-uvccm-shaka.html
0 Response to "Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Ziarani Kisiwani Pemba."
Post a Comment