title : Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta.
kiungo : Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula, akifurahia wakati Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Ndg. Ramadhani Hamza Chade akikabidhiwa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ali Hassan King,kulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni zilizofanyika katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Ramadhan Hamza Chande akinesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM baada ya kukabidhiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ali Hassan King, katikati Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe.Philip Mangula akimkabidhi Katiba ya CCM Mgombea wa Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg. Ramadhan Hamza Chande wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jangombe Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
Hivyo makala Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta.
yaani makala yote Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/makamu-mwenyekiti-wa-chama-cha.html
0 Response to "Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta."
Post a Comment