title : Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga
kiungo : Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga
Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga
Jarida la Fobers limeripoti kuwa tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga.
Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania.
Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, Instagram! Nimepata chakula cha mchana kizuri nikiwa na watoto wanaovutia katika Shule ya Msingi Kicheba Muheza na nikakutana na Upendo Mwingira ambaye amejikita katika kupambana na magonjwa yasiyopewa kipaumbele. Melinda na mimi tumekuwa tukija Tanzania kwa miaka mingi sasa. Huwa napenda kuona maendeleo nchi iliyoyafanya katika kuboresha afya na kutoa nafasi.”
Kwa Kiingereza aliandika hivi “Hello from Tanzania, Instagram! I just had a great lunch with some amazing kids at Kicheba Primary School in Muheza and met Upendo Mwingira, a remarkable physician who has dedicated her career to fighting neglected tropical diseases. Melinda and I have been coming to Tanzania for many years now. I always love seeing how much progress the country has made to improve health and provide opportunity. Plus, the scenery is stunning. Whenever I travel to places like this, I wish others could come along and meet the people I get to meet. I have no doubt it would leave them as optimistic as I am about progress happening around the world. I’ll be sharing photos from my adventures here on Instagram, and I hope you’ll follow along.”
Hivyo makala Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga
yaani makala yote Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/teknolojia-bill-gates-ajiunga-instagram.html
0 Response to "Teknolojia : Bill Gates ajiunga Instagram akiwa Tanzania, arusha picha za Muheza Tanga"
Post a Comment