TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA.

TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA.
kiungo : TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA.

soma pia


TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA.

JUKWAA la wahariri Tanzania (TEF) laondoa zuio la kutokutoa habari za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda jijini Dar es Salaam leo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga amesema kuwa " Mgogoro huu kati ya Jukwaa la wahariri wa habari na tasnia ya habari  na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda umefika mwisho tunarusu sasa habari zake ziandikwa  mgogoro ule uliokuwepo yaliyopita si ndwele tugange yajayo"

Tamko hilo la TEF limekuja mara baada ya Machi 22 mwaka huu kutoa tamko lao kwa vyombo vya habari  lililokuwa likisema "Zinalaani vikali vitendo vya Mkuu wa Mkoa katika kuvamia chombo cha habari cha Clouds Media akiwa ameambatana na Askari wenye silaha.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuondoa adhabu aliyopewa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambayo alikua nayo ikiwa Jukwaa hilo la wahariri lilimfungia kwa  kutokutoa habari yoyote kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Kulia ni Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa Jukwaa la wahariri kuondoa zuio kutotoa habari zamkuu wa ,Mkoa wa Dar Es Salaam leo.

.
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati Jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) wakiondoa zuio la kutokutoa habari yoyote kwenye chanzo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye vyombo vya habari  sasa kuanzia leo habari za mkuu wa Mkoa wa Mkoa zitakuwa zikitoka kwenye vyombo vya habari. katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile  na kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Katikati ni  Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile  akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kushoto ni  Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
 
Baadhi ya waandishi wa habari na wahariri waliohudhulia Mkutano wa Jukwaa la wahariri Tanzania (TEF), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba. Picha na Avila Kakingo, Blog ya Jamii.


Hivyo makala TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA.

yaani makala yote TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tef-waondoa-zuio-la-kutokutoa-habari-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TEF WAONDOA ZUIO LA KUTOKUTOA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MAKONDA."

Post a Comment