PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI

PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI
kiungo : PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI

soma pia


PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akiwasili chuo cha cha Bahari Dar es Salaam(DMI) kuzindua bodi ya Ushauri ya Chuo hicho kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Dk. Erick Massami na kulia ni Mwenyekiti wa wa Bodi hiyo Nahodha Ernest Mihayo Bupamba Uzinduzi huo ulifanyika jana Chuoni hapo Jijini Dar es Salaam 
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akizungumza wakati akizindua bodi ya Ushauri ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kushoto Mwenyekiti wa wa Bodi hiyo Nahodha Ernest Mihayo Bupamba na kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Dk. Erick Massami.Uzinduzi huo ulifanyika jana Chuoni hapo Jijini Dar es Salaam.
Dk. Tumaini Gurumo, Naibu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Mipango, Fedha na Utawala akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa (kushoto) jana wakati Waziri huyo akizindua bodi ya Ushauri ya Chuo hicho wa pili kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Dk. Erick Massami na wa tatu kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma,Utafiti na Ushauri.
Mhasibu Mkuu wa Chuo Cha Bahari Dar es Salaam(DMI) Haika Kessy akijitambulisha kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa wakati Waziri huyo kuzindua bodi ya Ushauri ya Chuo hicho wengine pichani Maofisa wa Chuo hicho.


Hivyo makala PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI

yaani makala yote PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/profesa-mbarawa-azindua-bodi-ya-dmi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA DMI"

Post a Comment