MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO

MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO
kiungo : MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO

soma pia


MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Zanaki na Msimbazi, wakiwa katika picha ya pamoja na Wasimamizi wa Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili pamoja na Walimu wao baada ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Katika Mdahalo huo, Shule ya Sekondari ya Zanaki ndiyo iliibuka na ushindi. 
Afisa Mipango wa Taasisi ya Friedrich Naumann, Veni Swai akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wasimamizi wa Mdahalo huo, Dorothy Kipeja akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.   
Mkuu wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Erick Kajahurwa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Afisa Mipango wa Taasisi ya Friedrich Naumann, Vena Swai akikabidhi zawadi ya mpira kwa Mwanafunzi Mwanahamisi Ally wa Shule ya Sekondari ya Zanaki, baada ya kuwa mmoja wa washindi katika Mdahalo uliozikutanisha shule mbili za Zanaki na Msimbazi, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.



Hivyo makala MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO

yaani makala yote MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mradi-wa-kuwa-mfano-wazinduliwa-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO"

Post a Comment