Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15

Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15
kiungo : Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15

soma pia


Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15


Tamasha la Fiesta ambalo huvutia umati mkubwa wa watu kutoka sehemu mbalimbali nchini, limezinduliwa rasmi Jumatatu hii jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga (kushoto), Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu (katikati) pamoja Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Tigo, William Mpinga.

Tamasha hilo ambalo huandaliwa kila mwaka na Kampuni ya Prime Time Promotions, mwaka huu linatimiza miaka 16 tangu kuanzishwa kwake. Linatarajiwa kufanyika katika mikoa 15 ambapo Watanzania watapata burudani na elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto za maisha.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika makao mkuu ya Kampuni ya Tigo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga alisema tamasha hilo safari hii litajulikana kwa jina la Tigo Fiesta 2017 Tumekusomaa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Tigo, William Mpinga

Alisema safari hii Fiesta msimu wa 2017 wamejipanga vilivyo kuhakikisha Watanzania wananufaika na tamasha hilo katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na: kupata burudani na elimu ili kuhakikisha ubora wake wa miaka 15 iliyopita haupotei.
“Lakini pia baada ya uzinduzi huu, zoezi la usajili wa wasanii watakaoshiriki katika tamasha hilo unaanza mara moja na utachukua kama wiki mbili hivi, baada ya hapo ndipo itakapofahamika ni mkoa gani Tigo Fiesta 2017 Tumekosomaa itaanzia,” alisema Maganga.


Hivyo makala Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15

yaani makala yote Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tamasha-la-fiesta-lazinduliwa-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tamasha la Fiesta lazinduliwa Dar, kuzunguka katika mikoa 15"

Post a Comment