title : Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017
kiungo : Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017
Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017
Dk Macha alifariki dunia Machi 31 mwaka huu katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akitibiwa.
Akitoa ratiba ya msiba huo leo bungeni, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alisema taratibu zote za nchi i Uingereza za kurudisha mwili wa Mbunge huo zimekamilika.
“Kule kuna taratibu nyingi za kisheria na kadhalika haikuwa rahisi kuharakisha mchakato huo. Tunashukuru ubalozi wetu wa nchini humo umeweza kufanikisha jambo hili,”amesema
Ndugai amesema mwili wake utawasili Alhamis ya wiki ijayo katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere April 20, mwaka huu saa tisa mchana.
Hivyo makala Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017
yaani makala yote Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mwili-wa-mbunge-wa-viti-maalumu-chadema.html
0 Response to "Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017"
Post a Comment