title : SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA
kiungo : SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA
SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakiwasili katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakifurahi jambo na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakiwa katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (wa tatu kushoto), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) pamoja na viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati wimbo wa taifa ukiimbwa.
Wananchi wakishangilia wakati Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakiwasili katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Hivyo makala SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA
yaani makala yote SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/sherehe-za-uwekaji-wa-jiwe-la-msingi.html
0 Response to "SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI, TANGA ZAENDELEA HIVI SASA"
Post a Comment