huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017

huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017
kiungo : huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017

soma pia


huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017

Idara ya Uhamiaji inapenda kuutangazia umma kuwa imezindua rasmi huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni (Online Passport Application Form). Huduma hii inapatikana katika tovuti ya Idara kupitia link ifuatayo: http://ift.tt/2wsjT7w na itaanza kutumika rasmi kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 07 Agosti, 2017. 

Kufuatia kuzinduliwa kwa huduma hii, waombaji wote wa pasipoti wanashauriwa kuzijaza fomu hizo mtandaoni, Kisha kuzichapisha (Printing) na kuziwasilisha katika Ofisi za Uhamiaji.

Hata hivyo, matumizi ya huduma hii yataenda sambamba na huduma inayotumiwa sasa ya fomu za maombi ya pasipoti mpaka pale itakapotangazwa vinginevyo. 

Utaratibu wa namna ya kujaza fomu hizo umeelekezwa katika fomu husika mtandaoni, na pia wateja wanaweza kupata ufafanuzi au maelezo zaidi kuhusu huduma hiyo kupitia anuani ya Idara ambayo ni  info@immigration.go.tz au katika Ofisi yoyote ya Uhamiaji iliyo karibu nao. 

Taarifa zaidi kuhusu huduma hii zitaendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Imetolewa na:

KITENGO CHA UHUSIANO,
MAKAO MAKUU, IDARA YA UHAMIAJI,
04 AGOSTI, 2017.



Hivyo makala huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017

yaani makala yote huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/huduma-ya-fomu-ya-maombi-ya-pasipoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni kuanzia Agosti 7, 2017"

Post a Comment