title : Tanzia
kiungo : Tanzia
Tanzia
Familia ya wanakifungilo wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa na mlezi wao Sr. Mary Fidesta Rimisho C.P.S., aliyepata kuwa mkuu wa shule ya Kifungilo kianzia mwaka 1981 hadi 2000, kilichotokea ghafla Jumanne asubuhi tarehe 13 Feb.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Arusha siku ya Jumamosi tarehe 17 Feb kuanzia saa 4 asubuhi USA River. Habari ziwafikie wanafunzi wote wa Kifungilo, popote pale walipo duniani, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu MAMA yetu
Hivyo makala Tanzia
yaani makala yote Tanzia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/tanzia_14.html
0 Response to "Tanzia"
Post a Comment