SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB

SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB
kiungo : SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB

soma pia


SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB




01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Ndogo za wizara hiyo jijini Dar es salaam kabla ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Bilioni kumi na tisa na milioni mia tano 19.5 kama gawio lake kutoka benki ya CRDB wakati benki hiyo ilipokabidhi gawio hilo kwa serikali, Serikali inamiliki asilimia 21 ya hisa za benki ya CRDB na ndiyo yenye hisa nyingi zaidi kati ya wanahisa wote, Kulia katika picha ni Dk. Charles Kimei Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo.

1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akimsikiliza Dk. Charles Kimei Mkurugenzi Mkuu wa Benki wa benki ya CRDB wakati akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi hundi ya gawio la faida kutoka benki hiyo kwa serikali, Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bw.Ally Hussein Laay.

3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Bilioni kumi na tisa na milioni mia tano 19.500.000.000 Kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bw.Ally Hussein Laay kama gawio serikali  kutoka benki ya hiyo na katikati ni Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen

45

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akimpongeza Mkurugenzi Mkuu  wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei mara baada ya kupokea hundi hiyo.

6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akipiga picha ya pamoja na wakuu wa benki ya CRDB pamoja na watendaji wakuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango mara baada ya kupokea hundi hiyo katikati ni Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen.

7

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James akipiga picha ya pamoja na wakuu wa benki ya CRDB pamoja na watendaji wakuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango mara baada ya kupokea hundi hiyo katikati ni Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen.



Hivyo makala SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB

yaani makala yote SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/serikali-yapata-gawio-la-bilioni-195.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAPATA GAWIO La BILIONI 19.5 KUTOKA CRDB"

Post a Comment