title : Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya
kiungo : Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya
Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo (katikati) akimskiliza Meneja wa TARURA Wilaya ya Kiteto Eng.Gerald Matindi akielezea hali ya ujenzi wa barabara ya Namelock-Sunya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(kwanza kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhe. Tumaini Magesa, Mbunge wa Kiteto Mhe.Emanuel Papiyani na Mwenyekiti wa Ccm Wilaya wakikagua ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya eneo linalojengwa na Mkandarasi Maginga Business Holdings Company Ltd ya mjini Dodoma.

Muonekano wa barabara ya Namelock –Sunya eneo linalojengwa na Mkandarasi Maginga Business Holdings Company Ltd ya mjini Dodoma ambaye yuko site kwa miezi minne sasa lakini hali ya ujenzi wa barabara hiyo ikiwa hairidhishi.
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa kata ya Engusero –Wilayani Kiteto wakati wa ziara yake ya kazi Wilayani hapo.

Hivyo makala Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya
yaani makala yote Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/maginga-business-holdings-company-ltd.html
0 Response to "Maginga Business Holdings Company Ltd yadaiwa kukwamisha ujenzi wa barabara ya Namelock –Sunya"
Post a Comment