title : RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
kiungo : RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa hiyo
Kiongozi wa wawezeshaji Bw. Frank Makua Charles akichokoza mada wakati wa semina katika akichokoza mada wakati siku ya kwanza ya semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Makao Makuu Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Bw. James Mtatifikolo akifafanua jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inayoendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
yaani makala yote RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ras-mbeya-afungua-mafunzo-ya-mfumo-mpya_7.html
0 Response to "RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa"
Post a Comment