title : RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO .
kiungo : RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO .
RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO .
Mwamba wa habari
Na. John Luhende
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam, amewataka wananchi wa Jimbo la Ukonga na kata zinazofanya uchaguzi ikiwemo kata ya Vingunguti kujitokeza kupiga kura bila uwoga.
RC Makonda ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, na kusema kuwa ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya mkoa huo ambapo uchaguzi utafanyika kesho siku ya 16,jumapili.
"Wananchi mnaotarajia kesho kupiga kura naomba mkapige kura tena jitokezeni mapema tumejipanga ulinzi na usalama utakuwa wa kutosha, na nashukuru vyama vyote kushirikiana na tumeya uchaguzi wamewekeana makubalino kila mtu atakapo Maliza kupiga kura aondoke , tumejifunza kwa chaguzi zilizopita hatutaki yajirudie” amesema.
Aidha amevitaka vyamavyote baadaya uchaguzi kuyapokea vizuri asiyekubali si mshindani na wayapokee matokeo yatakaoyo tangazwa na tumeya uchaguzi kuyapokea na kusherehekea kwa amani bila kufanya fujo.
‘’ Niwasihi sana kukitokea machafuko hapa maanayake hata utalii tutauharibu ,sura ya Dar es salaam nisura ya Tanzania yetu , niwaombe tuhakikishe tunafuata sheria taratibu na kanuni na hatimaye tukamilishe uchaguzi wetu kwa amani na tukitarajia ushindi kwa yule ambaye mmemchagua ambaye mnamtaka kwaajili ya kuwaongoza na kuwaletea maendeleo’’ amesema
Hivyo makala RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO .
yaani makala yote RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rc-makonda-tumeimarisha-ulinzi-wananchi.html
0 Response to "RC MAKONDA :TUMEIMARISHA ULINZI, WANANCHI UKONGA NA KATA ZINAZOFANYA UCHAGUZI KESHO ."
Post a Comment