title : RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI
kiungo : RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI
RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI
Baada ya kukaa takribani miezi mitatu akipatiwa matibabu nchini Uingereza hatimaye Rais wa nchini Nigeria, Muhammadu Buhari amewasili katika mji mkuu wa Abuja na kupokelewa na viongozi wa ngazi za juu wa taifa hilo wakiongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo.
Rais Buhari alikuwa katika matibabu kwenye moja ya hospitali nchini humo ambapo alilazwa kwa takriban miezi mitatu. Hata hivyo haiJAfahamika rAIS HUYO alikuwa akiugua ugonjwa gani.
Hii ni mara ya tatu kwa kiongozi huyo kwenda Uingereza kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Jumatatu ijayo kiongozi huyo anatarajiwa kuhutumia taifa hilo
Hivyo makala RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI
yaani makala yote RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-nigeria-buhari-arejea-nyumbani.html
0 Response to "RAIS WA NIGERIA BUHARI AREJEA NYUMBANI"
Post a Comment