15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA.

15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA.
kiungo : 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA.

soma pia


15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA.




WACHEZAJI 15 kati ya 50 wa mchezo wa gofu wa mashindano ya MM Gofu Tanzania ambapo mwishoni mwa wiki walitamatisha mashindano ya Robo fainali waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri katika mashindano  yaliyodhaminiwa
 na Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania yaliyokuwa katika viwanja vya Mchezo wa Gofu, Lugalo jijini Dar es salaam.

Wachezaji walioshinda katika mchezo huo ni Steve Lokono, 
Samweli Miginda, 
Patrick, Karimi, 
Sande Walter, na k
wa upande wa wasaidizi ni Wamungu Wagochochi,  MpT Sheko na Kain Mbaya 

Washindi wa mchezo huo wengine ni Fred Laizer na T. Wiliamu.
Z.Hamis, L. Juma, Karim Rasho na kwa upande wa wanawake (MMS), alikuwa ni Karobia.

 Na kwa upande wa watoto  wakiume mshindi ni Wambugu Wagichochi na mshindi kwa watoto wa kike ni A.Eaton, N.Pin na Kain Mbaya
 na mshindi wa Mitupo Mingi ni Mulani Njeru.


Akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi, Mkurugeanzi Mtendaji wa Kampuni ya Engen Tanzania, Paul Muhato alisema wameamua kudhamini mashindano hayo kutokana na kuwa wadau wakubwa wa michezo nchini pamoja na utoaji huduma ya mafuta na vilainishi vya magari hapa nchini.

Muhato alisema udhamini wao wa mashindano hayo kwa mwaka huu si mwanzo bali wataendelea kuyadhamini kila mwaka ili kuweza kuuendeleza mchezo huo nchini. 
Mmoja ya wanawake walioibuka kidedea katika mchez wa Gofu akipokea zawadi mara baada ya kutanazwa kushinda katika kitengo cha Gofu wanawake.

 Wachezaji wa timu Gofu inayoshiriki mashindano ya MM Golf Tanzania, Mashindano yanadhaminiwa na Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania yanayoendelea kwa hatua ya robo fainali, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wao, kwenye viwanja vya Mchezo wa Gofu, Lugalo jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2017.
 Mchezaji wa timu Gofu inayoshiriki mashindano ya MM Golf Tanzania yanayoendelea kwa hatua ya robo fainali, ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta Engen Tanzania, Paul Muhato akipiga moja ya mitupo katika uliofanyika viwanja vya Mchezo wa Gofu, Lugalo jijini Dar es salaam Septemba 23, 2017. Mashindano hayo yanadhaminiwa na Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania.
 Mkurugeanzi Mtendaji wa Kampuni ya Engen Tanzania, Paul Muhato akizungumza kabla ya kutoa zawadi kwa washindi wa mchezo wa Gofu wa mashindano ya MM Golf Tanzania yaliyokuwa wakifanyika katika viwanja vya Gofu ya Lugalo jijini Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA.

yaani makala yote 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/15-waibuka-kidedea-katika-mchezo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MCHEZO WA GOFU KATIKA MASHINDANO MM GOLF TANZANIA."

Post a Comment