WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo

WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo
kiungo : WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo

soma pia


WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo



 Wanachama 1,216 wa klabu ya Simba, leo wamepitisha uamuzi wa klabu yao kuanza kuendeshwa kwa mfumo wa hisa.

Mwanachama mmoja pekee katika mkutano huo, ndiye alionyesha hisia zake kwa kupinga mfumo huo.

Wanachama bado wataendelea kubaki kuwa wamiliki wa klabu hiyo kwa asilimia 50 huku wawekezaji nao wakilimiliki kwa asilimia 50 pia.

Mbadiliko yaliyopitishwa na wanachama wa Simba yako hivi, wanachama watamiliki klabu yao kwa 50% huku 50% zikilikiwa na wawekezaji.

Wawekezaji au mmoja, wawili au watatu watatakiwa kutoa Sh bilioni 20 katika uwekezaji huo sawa na wanachama.

Kwa wanachama, kwa kuwa wanaonekana si wenye uwezo wa kutosha kifedha, wao watatakiwa kuchangia Sh bilioni 4 tu ambazo nia silimia 10 huku 40 ambayo ni bilioni 16 zitawekwa kando kwa kuangalia uwezo wao.

Suala la nani atakuwa mwekezaji itaundwa kamati baada ya watu kujitokeza, nayo itaandaa mkutano kuwaita wanachama kuwaeleza waliojitokeza katika uwekezaji ni akina nani.




Wawekezaji wanaweza kuwa wawili, watatu au vinginevyo na mgawanyo wa hisa kwa maana ya thamani na asilimia ndiyo utakaohusika.


Hivyo makala WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo

yaani makala yote WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wanachama-wa-simba-waamua-kuendesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio Walichoamua Leo"

Post a Comment