title : Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga
kiungo : Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga
Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga
Mwambawahabari
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika tarehe 5 Agosti 2017 katika eneo la Chongoleani.
Hivyo makala Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga
yaani makala yote Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-museveni-atua-dar-tayari-kwenda.html
0 Response to "Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga"
Post a Comment