title : HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA
kiungo : HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA
HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA
Hili ndilo sanduku litakalobeba miili ya wapendwa wetu Marehemu Maria na Consolata likiwa tayari limekamilika kwa maziko hapo kesho katika makaburi ya masista na mapadre pamoja na viongozi wa kanisa Katoliki, Tosamaganga mkoani Iringa
Maria na Consolata wanazikwa kesho baada ya ukamilisho wa ibada ya kuwaaga itakayofanyika kwenye viwanja vya Rucu kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Tosamaganga watakakozikwa.
Maria na Consolata wanazungukwa na makaburi ya masista waliokwishafariki.Maria na Consolata walifariki dunia June 2 mwaka huu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa ambapo walikuwa wakipatiwa matibabu.
Baadhi ya Mafundi wakitengeneza sanduku litakalobeba miili ya wapendwa wetu Marehemu Maria na Consolata,kwa maziko hapo kesho katika makaburi ya masista na mapadre pamoja na viongozi wa kanisa Katoliki, Tosamaganga mkoani Iringa.
Maria na Consolata wanazikwa kesho baada ya ukamilisho wa ibada ya kuwaaga itakayofanyika kwenye viwanja vya Rucu kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Tosamaganga watakakozikwa.
Maria na Consolata wanazungukwa na makaburi ya masista waliokwishafariki.Maria na Consolata walifariki dunia June 2 mwaka huu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa ambapo walikuwa wakipatiwa matibabu.
Sanduku litakalobeba miili ya wapendwa wetu Marehemu Maria na Consolata likiwa tayari kwa maziko hapo kesho katika makaburi ya masista na mapadre pamoja na viongozi wa kanisa Katoliki, Tosamaganga mkoani Iringa
Baadhi ya Mafundi wakiendelea na maandalizi ya kutengeneza Sanduku litakalobeba miili ya wapendwa wetu Marehemu Maria na Consolata,kwa ajili ya maziko hapo kesho katika makaburi ya masista na mapadre pamoja na viongozi wa kanisa Katoliki, Tosamaganga mkoani Iringa
Hivyo makala HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA
yaani makala yote HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/hili-ndilo-sanduku-litakalobeba-miili.html
0 Response to "HILI NDILO SANDUKU LITAKALOBEBA MIILI YA MAREHEMU MARIA NA CONSOLATA"
Post a Comment