RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.
kiungo : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

soma pia


RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

DSC_9591
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu  katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha na Ikulu.] 10 /08/2017.
DSC_9592
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu  katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha na Ikulu.] 10 /08/2017.
DSC_9599
Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Juma (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo na kuhusu Bodi yake   wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu,wengine Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi (katikati) na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee, [Picha na Ikulu.] 10 /08/2017.
DSC_9609
Mkurugenzi wa Idara ya Mikopo ya Elimu ya Juu puia Katibu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nd,Iddi Khamis Haji alipokuwa akitoa taarifa ya Uongozi wa Wizara ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Jumaakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
DSC_9615
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu na Uongozi wa Baraza la Elimukatika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
DSC_9667
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu Bi.Sada Thani (kulia) alipokuwa akitoa taarifa yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la Elimu,wengine ni Wajumbe wa Bodi,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
DSC_9679
Baadhi ya wajumbe wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Mitihani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), alipozungumza nao wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la Mitihani,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
DSC_9716
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma (wa pili kulia) alipokuwa kitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kikao kilichojumuisha Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu na Uongozi wa Baraza la Elimu  na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.


Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkshein-azungumza-na-bodi-ya_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU."

Post a Comment