Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCMkiungo :
Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM
Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM
Aliyekuwa mgombea urais 2015 kupitia ACT - Wazalendo Mama Anna Mghwira ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM.
Tukio hilo limetokea leo mjini Dodoma kwenye uzinduzi wa mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT), ambao umehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika mkutano huo mama Anna Mghwira amesema ameamua kufanya hivyo baada ya kuona jitihada za CCM katika kuleta maendeleo, hivyo akaona ni vyema akajiunga nao.
"Mimi baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa kwa muda mfupi nimeona mengi ndani ya CCM na nimeona sio mbaya nikitamka kuwa naungana nanyi rasmi, ahsanteni sana kwa kunipokea na kama niliposikia hotuba ya Mwenyekiti ni kweli kuwa sisi akina mama ndiyo wenye jukumu la kubeba nchi. Na mimi naungana na akina mama wenzangu wa UWT wenye malengo ya kuendeleza taifa", amesema mama Anna Mghwira.
Mama Anna Mghwira anakuwa kiongozi mkubwa wa tatu kitaifa wa ACT Wazalendo kujiunga na CCM ndani ya mwaka huu.
Hivyo makala Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM
yaani makala yote Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/breaking-news-mama-anna-mghwira.html
Related Posts :
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHE. JAPHET HASUNGA, AWASILI MAKAO MAKUU YA WIZARA MJINI DODOMA LEO, AOMBA USHIRIKIANO WA WATUMISHI KUTEKELEZA MALENGO YA WIZARAMwambawahabari
NA HAMZA TEMBA – WMU-DODOMA
…………………………………………………………………………….
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Ngailonga… Read More...
KATIBU WA BUNGE NDG.KIGAIGAI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE KATIKA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA BUNGE LEO MJINI DODOMA
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kigaigai akizungumza na Menejimenti ya Utumishi wa Bunge katika kikao cha kufahamiana kilichofanyika leo kat… Read More...
KONGAMANO LA VIJANA LAFANA JIJINI MWANZA.
Mwambawahabari
Msanii Kala Jeremiah akitumbuiza kwenye Kongamano la Uzinduzi wa Mabaraza ya Vijana Jijini Mwanza, lililofanyika uwanja wa … Read More...
TANZANIA YAZIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI-RIPOTI YA REPOA
Mtafiti Kutoka REPOA, Dk . Lucas Katera,Akiwasilisha ripoti ya Nafasi ya nchi katika kufanya Biashara Duniani iliyotole… Read More...
WAZIRI MWAKYEMBE KUZINDUA MASHINDANO YA KANDA YA TATU YA KUOGELEA.
Mwambawahabari
Muogeleaji nyota wa kike wa Tanzania, Sonia Tumiotto.
Muogeleaji nyota wa Tanzania kwa upande wa wanaume, Collins Saliboko… Read More...
0 Response to "Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM"
Post a Comment