title : MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA.
kiungo : MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA.
MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akikagua ujenzi wa ofisi hiyo unaoendelea mkoani Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mhandisi John Ainainyi Njau kutoka Benki ya Dunia nchini Tanzania.
Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Mkandarasi wa majengo kutoka kampuni ya Hainan International Ltd inayojenga Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoani Dodoma akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina chuwa wakati alipotembelea kukagua ujenzi wa ofisi hiyo.
(PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
Hivyo makala MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA.
yaani makala yote MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mkurugenzi-wa-takwimu-atembelea-ofisi.html
0 Response to "MKURUGENZI WA TAKWIMU ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MKOANI DODOMA."
Post a Comment