BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI

BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI
kiungo : BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI

soma pia


BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI

Na Zainab Nyamka-Globu ya Jamii.

TIMU ya Mtibwa Sugar imewatema wachezaji saba wakikosi hicho waliomaliza mikataba yao na kufanikiwa kusajili chipukizi wawili wapya ambao ni beki wa kati, Hussein Iddi na mshambuliaji Salum Ramadhani kw ajili ya msimu mpya wa mwaka 2017/18. 

Katika wachezaaji saba walioruhusiwa kuondoka katika timu hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi baada kumaliza mkataba wake 

Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser amesema kuwa beki Hussein Idd ametokea katika timu ya JKT Oljoro ya Arusha na Salum Ramadhani ametokea Polisi Morogoro na kila mmoja amesaini mkataba wa miaka miwili kila mmoja na ni matumaini ya Mtibwa Sugar watang’ara Manungu. 

Pamoja na hayo, Bayser amesema kwamba wanatarajia benchi la Ufundi chini ya Kocha Mkuu Zubeiry Katwila kupandisha baadhi ya wachezaji kutoka katika timu ya vijana ya Mtibwa Sugar. 

“Uongozi wa Mtibwa Sugar unaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi, hivyo basi usajili bado unaendelea na nyota wengine wanatarajiwa kuingia makubaliano na Mtibwa Sugar wakati wowote kuanzia sasa,”amesema. 

Aidha, Bayser amesema kwamba Mtibwa Sugar imeachana na Jaffary Salum Kibaya, Said Mkopi, Maulid Gole ‘Adebayor’, Said Bahanuzi, Vincent Barnabas, Ally Lundenga na Ally Shomary ambao wamemaliza mikataba yao. 

Mtibwa inasifika mno kwa kuibua wachezaji chipukizi kutoka timu mbalimbali ndogo na wengine kupandisha kutoka kikosi chake cha vijana ambao baadaye hugeuka lulu na kugombewa na timu kubwa, hususan Simba na Yanga.
Said Bahanuzi akimtoka kwa kasi beki mwingine wa JKT


Hivyo makala BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI

yaani makala yote BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/bahanuzi-atemwa-mtibwa-wasajili-wengine.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAHANUZI ATEMWA MTIBWA, WASAJILI WENGINE WAWILI"

Post a Comment