title : Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji.
kiungo : Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji.
Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji.
Eneo ambalo lilikuwa likichimbwa mchanga katika eneo la kijiji cha kianga Unguja Wilaya ya Magharibi B Unguja, ambalo limejaa maja kipindi cha mvua za masiki zilizomalizika hivi karibu na kusababisha kujaa maji ya mvua na kusababisha maji hayo kuelekea katika kiwanja cha mpira cha kianga hutumika kwa matumizi ya sikukuu kwa Wananchi wa Kijiji hicho.
Kiwanja cha mpira cha Kianga Mento ambacho wananchi wanakitumia kwa sherehe za Iddi kikiwa kimejaa maji Machafu yanayo tiririka kutoka kwenye shimo liliopo pembezoni mwa uwanja huo na kupelekea kushindwa kufanyika sherehe hizo mwaka huu.
.(Picha na Abdalla Omar Habari Maelezo Zanzibar.)
Hivyo makala Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji.
yaani makala yote Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wananchi-wa-kijiji-cha-kianga-wilaya-ya.html
0 Response to "Wananchi wa Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja Washindwa Kusherehekea Sikukuu Katika Kiwanja Hicho Kwa Kujaa Maji."
Post a Comment