MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS

MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS
kiungo : MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS

soma pia


MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Michuano ya mpira wa kikapu ya Sprite BBall Kings 2017 imezidi kupamba moto baada ya timu zilizofanikiwa kuingia hatua ya fainali   kutambiana.

Michuano hiyo itakayoendelea wikiendi hii katika Viwanja vya Don Bosco imekuwa ya ushindani mkubwa ikiwa ni mchezo wa raundi ya kwanza hatua ya fainali.

Manahodha kutoka timu hizo wametambiana kwa kila mmoja kumuambia mpinzani wake kuwa ajipange katika mchezo huo wa raundi ya kwanza  katika kushindania lile taji la Sprite BBall kings ili kumpata mfalme wa kikapu kwa mwaka 2017.
Kwa upande wa timu ya mpira wa kikapu ya Mchenga Bball Stars, nahodha wao Mohamed Yusuph amesema kuwa watahakikisha mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya wapinzani wao TMT unamalizika Kwa wao kuwapiga vikapu vya kutosha wapinzani wao.

Nahodha wa TMT Isihaka Mzinga  ametamba na kuwatahadharisha Mchenga kuwa wajipange vyema, kwani kwa mchezo wa kwanza tu watahakikisha wanaonyesha uwezo wao wa kuibuka wafalme wa kikapu katika  Mashindano ya Sprite BBall kings 2017.

Mchezo wa kwanza wa Sprite BBall kings 2017, utachezwa katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay na mshindi wa kwanza wa mashindano haya ataondoka na kitita cha shilingi milioni 10 ,mshindi wa pili milioni 3, na mchezaji bora milioni 2.
Sprite BBall kings 2017, ni kwa udhamini mkubwa kabisa wa kinywaji cha Sprite.


Hivyo makala MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS

yaani makala yote MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mchenga-vs-tmt-ni-fainali-ya-kwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MCHENGA VS TMT NI FAINALI YA KWANZA KUMJUA MBABE WA SPRITE BBALL KINGS"

Post a Comment