title : KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
kiungo : KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
Mratibu wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji Andrew King’omela akizungumza na Mwinjilisti kiongozi wa Mtaa Mwapemba Usharika wa Mtoni Nicolas Mtali wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Mtaa huo iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Mratibu wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji Andrew King’omela (kushoto) akizungumza na Mchungaji wa Usharika wa Mtoni Moses Sozigwa (kulia) ambaye ni mlezi wa Mtaa wa Mwapemba wakati wa harambee ya ujenzi wa kanisa la Mtaa huo.
Kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa wa Kemete usharika wa Kijitonyama ikiimba wakati wa harembee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni lenye uwezo wa kuchukuwa waumini 400 na vyumba vya ofisi vitano kama linavyoonekana katika picha.
Hivyo makala KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
yaani makala yote KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kanisa-la-kiinjili-la-kilutheri.html
0 Response to "KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA"
Post a Comment