title : RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo
RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo
Picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-aelekea-mkoani.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA Leo"
Post a Comment