title : MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO.
kiungo : MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO.
MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO.
Mwambawahabari
Na. John Luhende
Ufafanuzi kuhusu utaratibu wa Mabaraza ya Ardhi ya kata umetolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Ludigija Ng’wilabuzu, kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu mabaraza hayo kuwa yamegubikwa na Rushwa jambo ambalolimesababisha usumbufu kwa wananchi.
Madai hayo yameibuliwa na diwani wakata ya Mjimwema, Celestine Maufi , wakati akiuliza swali la papo kwa papo katika kikao cha baraza la madiwani robo ya pili ambapo amesema wajumbe wa baraza hilo wamekuwa wakiombaomba fedha kwa Madiwani jambo ambalo pia linalalamikiwa na wananchi kuwa kumekuwa na vitendo vya rushwa.
‘’Wajumbe hawa hawalipwi posho wala mishahara hali hii imasababisha kuomba rushwa kwa wananchi wanao hudumiwa na mabaraza naomba kama kuna uwezekano wa kulipwa basi walipwe rushwa imezidi ”Alisema Maufi
Akijibu swali hilo Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Ludigija Ng’wilabuzu, amesema yeyote atakeye kamatwa akipokea amakutoa rushwa atachukuliwa hatua za kisheria , na akafafanua kuhusuhu malipo ya wajumbe hao amesema .
“Kwa maana ya utaratibu Mabaraza haya yanatakiwa yakusanye fedha na yakikusanya tunatakiwa tuwarudishie asilimia 80% au kadri itakavyo kuwa imeelekezwa katika miongozo lakini sasa imekuwa ni vigumu kuwalipa na nimesha kutana nao mara nyingi hawaleti chochote sasa tunawezaje kumlipa mtu ambaye hazalishi? Wanakusanya fedha nyingisana lakini hawawasilishi tumeana andaa utaratibu tutakutana nao tuwaelekeze “Alisema
Aidha kumetolewa ushauri wa ujenzi wa miradi ya kimkakati ilikuleta tija itakayo iwezesha Manispaa ya Kigamboni Kujiendesha badala ya miradi hiyo kujengwa maeneo ambayo sirafiki kibiashara, Diwani wa kata ya Vijibweni ambaye pia ni Meya wa jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita , ameshauri miradi hiyo kujengwa sehemu yenye mkusanyika wa watu wengi na inayofikika kirahisi kimiundo mbinu mfano soko badala ya kujengwa kibada lijengwe Fery ,kwa msomari au vijibweni.
“Sina maana kuwa mbadilishe lakini nashauri mnaweza kufanya ( review) mapatitio ,miradi hii tuwe nayo makini tujenge maeneo ambayo kunamzuguko wa biashara na ambapo hata watu kutoka maeneo ya jirani kama kura sini wanaweza kuja kupata mahitaji , masoko kama sterio ya Temeke yako katikati yanafikika kirahisi
Hata hiyo Naibu Meya wa Manispaa ya Kigamboni Mzuri Sambo, ametetea hatua ya kujengwa soko la kimkakati katika kata ya Kibada akisema kuwa soko hilo litatumiwa na wanakibada hata kama hawata weza watu wengine kufika huko.
‘’mimi nasema kwenye kata yangu tuko vizuri soko hilo tutalitumia, hatutegemei watu kutoka nje huko unakosema wanakibada wenyewe tunatosha , pia nashauri tuibue maeneo na tuyathibitishe Manispaa yapae hati tupewe na mhe.Rais anasema anazo fedha ila watu wakuzitumia hawapo hana hel ya kuchezea “Alisema Sambo
Hivyo makala MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO.
yaani makala yote MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mabara-za-ya-ardhi-kigamboni-yakiwa.html
0 Response to "MABARA ZA YA ARDHI KIGAMBONI YAKIWA KUZALISHA MAPATO."
Post a Comment