Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana

Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana
kiungo : Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana

soma pia


Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana

Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi Devota Mdachi na Meneja Mkazi Shirika la Ndege la Ethiopian Airlines, Bwana Dahlak Teferi wakibadilishana hati za makubaliano ya kufanikisha maonyesho ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo,’ jijini Dar es Salaam jana, maonyesho hayo yatakayofanyika Oktoba 13-15 mwaka huu.
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya utalii Bi Devota Mdachi akizungumza katika hafla ya kutia saini ushirikiano wa kufanikisha maonyesho ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo,’ jijini Dar es Salaam jana, maonyesho hayo yatakayofanyika Oktoba 13-15 mwaka huu, (kushoto) Mhandisi Ladislaus Matindi Mkurugenzi mtendaji Air Tanzania wapili( kulia) Bwana Dahlak Teferi Meneja wa Ethiopian Airlines, (kulia) Lima Silva Mwakilishi wa mauzo mwandamizi Shirika la ndege la Ethiopia, Ethiopian Airlines.
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi Devotha Mdachi akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau wa Utalii mda mfupi baada ya hafla ya kutia saini ushirikiano wa kufanikisha maonyesho ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ iliyofanyika Jijini Dar es Salaam jana’ wa tatu (kulia) Mhandisi Ladislaus Matindi Mkurugenzi Mtendaji Air Tanzania wa pili (kushoto) Dahlak Teferi Meneja wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Ethiopian Airlines. Ends


Hivyo makala Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana

yaani makala yote Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mashirika-ya-ndege-ttb-wakubaliana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mashirika ya ndege, TTB wakubaliana"

Post a Comment