title : MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA
kiungo : MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA
MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA
WATU tisa wamejeruhiwa na majambazi baada ya kuvamia machimbo mapya ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Nyakivangala, Isimani wilayani Iringa mkoani Iringa na kupora zaidi ya Sh Milioni 81, dhahabu zaidi ya gramu 400, na baadhi ya mali za wafanyabiashara katika eneo. Akizungumza na wanahabari, Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela anasema tukio hilo lililitokea majira ya saa nne usiku juzi.
Hivyo makala MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA
yaani makala yote MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/majambazi-ya-jeruhi-watu-9ya-pora-zaidi.html
0 Response to "MAJAMBAZI YA JERUHI WATU 9,YA PORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA"
Post a Comment